Kama vile Tatu Malongo alivyo shabiki la Dunduka .Sijui kama Arajiga ni refa Bora naishia kusema tu Arajibu ni shabiki wa Utopolo
Alifungiwa mwaka mzima kwa kupokea bahasha za GSM.Baadhi ya mashabiki wa timu fulani wanamuogopa kweli huyo jamaa. Wenyewe kama ingekuwa ni amri yao, basi wangetamani kuona mechi zao zote kwenye ligi zinachezeshwa na mwamuzi Tatu Malogo.