Naweza kupata wapi Sabuni za Imperial kwa jumla?

Naweza kupata wapi Sabuni za Imperial kwa jumla?

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,591
Reaction score
6,946
images (1).jpeg
images.jpeg

Kwema wananzengo?

Anaejua zinapopatikana hizi sabuni anielekeze, naomba na bei yake kwa jumla, ndogo na kubwa tafadhali. Sitaki rejareja!

Asanteni

Usiku mwema!
 
mimi sabuni yangu pendwa ni protex fulani ina rangi ya kijani

huwa nanunua box zima kkoo 80k
Mimi hii ndio sabuni yangu pendwa nimerithi toka kwa Marehemu baba yangu toka mdogo miaka ya 90 ndio ilikuwa sabuni yake hii na mimi nimekuwa mtu mzima ni mwendo wa imperial tu
 
Back
Top Bottom