Naweza kupata wapi Sabuni za Imperial kwa jumla?

mimi sabuni yangu pendwa ni protex fulani ina rangi ya kijani

huwa nanunua box zima kkoo 80k
Mimi hii ndio sabuni yangu pendwa nimerithi toka kwa Marehemu baba yangu toka mdogo miaka ya 90 ndio ilikuwa sabuni yake hii na mimi nimekuwa mtu mzima ni mwendo wa imperial tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…