Mkuu nikupe angalizo katika utafutaji wakoNiko Rorya na shida kubwa huku Ni mabadilko ya Hali ya hewa. Huku tumezoea kilimo Cha kutegemea mvua. Nyenzo pekee tunayotegemea Ni kutumia ng'ombe ambao kwa nyakati za kiangazi wanaathiriwa na ukame.
Kama ni shida ni zaidi ya janga. Kwa kifupi ni hiviii, mvua zikipungua ardhi ni ngumu kweli kwa ng'ombe kuvuta plau na mvua zikinyesha ardhi Ni nzito mno.
Yeyote mwenye dokezo namna gani naweza kufanya nikapata trekta kwa mikopo namkaribisha inbox. Mie Ni mkulima wa kawaida tu Ila naweza kupanuka Kama nikipata nyenzo.
Nini kimekukuta kwenye hili dude lenye udhamini wa nchi?Mkuu nikupe angalizo katika utafutaji wako
angalia usije ukapewe URSUS huu ni ugonjwa wa moyo kaa mbali nao.
#Utafutaji Mwema na wenye mafanikio.
Mchicha ule breakdown kila saa mixsa kuvunjika kifua kila Siku mara water pump yaani utulizi kichwa utasikia janga yani NDC walikula bingo Lao wakatuingiza cha kike raia alafu saivi ni full usumbufu tunaletewa hadi takukuruNini kimekukuta kwenye hili dude lenye udhamini wa nchi?
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Duuh poleni sana.Mchicha ule breakdown kila saa mixsa kuvunjika kifua kila Siku mara water pump yaani utulizi kichwa utasikia janga yani NDC walikula bingo Lao wakatuingiza cha kike raia alafu saivi ni full usumbufu tunaletewa hadi takukuru
Asee pole sanaMchicha ule breakdown kila saa mixsa kuvunjika kifua kila Siku mara water pump yaani utulizi kichwa utasikia janga yani NDC walikula bingo Lao wakatuingiza cha kike raia alafu saivi ni full usumbufu tunaletewa hadi takukuru