Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Kinachonishangaza ni kuwa kuna baadhi ya magonjwa hugharamiwa na NHIF katika baadhi ya hospitali lakini ukienda kwenye hospitali zingine hayagharamiwi.Hilo la kupima kundi la damu inawezekana.
Lakini pia NHIF wana list ya vipimo vingi ambavyo wanalipia.
Cha muhimu nenda hospitali,ongea na daktar wako kama kati ya vipimo unavyotaka havipo kwenye list ya vipimo vya NHIF basi watakupa utaratibu mwengine.
Sawasawa, nimekuelewa vema mkuu.Hilo la kupima kundi la damu inawezekana.
Lakini pia NHIF wana list ya vipimo vingi ambavyo wanalipia.
Cha muhimu nenda hospitali,ongea na daktar wako kama kati ya vipimo unavyotaka havipo kwenye list ya vipimo vya NHIF basi watakupa utaratibu mwengine.
Doh inawezekana bhasi, kila hospitali inaingia mkataba wake na shirika.Kinachonishangaza ni kuwa kuna baadhi ya magonjwa hugharamiwa na NHIF katika baadhi ya hospitali lakini ukienda kwenye hospitali zingine hayagharamiwi.
Hiyo mikataba inawatesa wateja kwa namna moja au nyingineDoh inawezekana bhasi, kila hospitali inaingia mkataba wake na shirika.
Hapana. Haliwezi kubadilika mkuu, kama ulishawahi kupima kundi lako ukalifahamu. Ulifanya vema, mimi sijifahamu kundi gani nipo ndo nahitaji kufahamu.Itabidi nami nipime, maana linaweza badilika....?
Sana, inatutesa.. Ingekuwa wameainisha mapema ama mteja kufahamu kabla ya kwenda sehemu husika ambapo unaweza kupatiwa huduma za kiafya.Hiyo mikataba inawatesa wateja kwa namna moja au nyingine
hakika!Ugonjwa haubagui ila cha ajabu bima/NHIF inabagua sana
Hii ni changamoto sana, ase.Ugonjwa haubagui ila cha ajabu bima/NHIF inabagua sana