Naweza Kupokeaje bidhaa toka USA?

Naweza Kupokeaje bidhaa toka USA?

Joined
Nov 30, 2020
Posts
31
Reaction score
15
Habari wana jamii forums.

Nipo na rafiki yangu yupo USA,mji wa califonia anahitaji kunitumis zawadi huku nchini Tanzania, anadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel ,msaada nifanyeje ili ni mshauri inifikie zawadi yangu ni digital portable computer na simu kwa wenye uzoefu tafadhari.
 
Hana nia ya kukutumia, hizo ni sound tu, achana naye hivyo vitu Bongo vipo kibao, jichange utanunuwa kwa pesa zako, achana na huyo mpumbavu, kwanza amekudharau kwamba huna ulijuwalo duniani kuhusu parcels.

Halafu usije kukuta umeangukia kwenye mikono ya Wanigeria wanakwambia uwatumie pesa za kusafirisha, shtuka unapigwa sasa hivi.
 
Hivi kwanini wanaigeria wanatuzidi sana kwa ujanja?
 
Hana nia ya kukutumia, hizo ni sound tu, achana naye hivyo vitu Bongo vipo kibao, jichange utanunuwa kwa pesa zako, achana na huyo mpumbavu, kwanza amekudharau kwamba huna ulijuwalo duniani kuhusu parcels.
umemaliza kila kitu
maana kuna wapumbavu waliondokaga bongo mda mrefu sana bas kwa akili zao wanajua bongo ipo vile kama walivyoondoka
 
Hana nia ya kukutumia, hizo ni sound tu, achana naye hivyo vitu Bongo vipo kibao, jichange utanunuwa kwa pesa zako, achana na huyo mpumbavu, kwanza amekudharau kwamba huna ulijuwalo duniani kuhusu parcels.

Halafu usije kukuta umeangukia kwenye mikono ya Wanigeria wanakwambia uwatumie pesa za kusafirisha, shtuka unapigwa sasa hivi.
Haha ni jamaa Aliendaga kitambo huko anafanya mishe mishe zake tu za maisha fresh...sasa last month akasema nataka nikutumie zawadi nkamwambia now niko busy fanya mwezi juni sasa ndio kanambia inshu ya kutuma ni ghari nikamwambia wait niulize ntakucheki...maybe kuna best way yakutuma na kupokea simplicity karibu
 
Mwambie acha sound, mzigo apeleke Fedex wapime kilo ataambiwa gharama.

Au apeleke Posta ni cheap dunia nzima watapima kilo atapewa bill.

Sielewi ni kwa nini Watanzania wanapenda longolongo?

Kama hawezi akutumie pesa ununuwe Bongo hivyo vitu vimejaa kibao asilete longofya.
 
Uhakika
 
Kama ni mzigo wa maana na unaeleweka tafuteni connection za watu wanaosafiri sana akubebee mzigo wako. Kuna hawa wanaowasaidia watu kwenda shule za Ulaya kama Tassaa nadhani utapata watu huko.
 
Nime info's zao nifanye mawasiliano yako mkuu
 
Habari wana jamii forums.

Nipo na rafiki yangu yupo USA,mji wa califonia anahitaji kunitumis zawadi huku nchini Tanzania, anadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel ,msaada nifanyeje ili ni mshauri inifikie zawadi yangu ni digital portable computer na simu kwa wenye uzoefu tafadhari.
kuna jamaa wanaitwa dikena, wapo instagram wacheki
 
Back
Top Bottom