De Rama Msirikale
Member
- Nov 30, 2020
- 31
- 15
Hana nia ya kukutumia, hizo ni sound tu, achana naye hivyo vitu Bongo vipo kibao, jichange utanunuwa kwa pesa zako, achana na huyo mpumbavu, kwanza amekudharau kwamba huna ulijuwalo duniani kuhusu parcels.Habari wana jamii forums.
Nipo na rafiki yangu yupo USA,mji wa califonia anahitaji kunitumis zawadi huku nchini Tanzania, anadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel ,msaada nifanyeje ili ni mshauri inifikie zawadi yangu ni digital portable computer na simu kwa wenye uzoefu tafadhari.
haha anakupiga sasa hivianadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel
umemaliza kila kituHana nia ya kukutumia, hizo ni sound tu, achana naye hivyo vitu Bongo vipo kibao, jichange utanunuwa kwa pesa zako, achana na huyo mpumbavu, kwanza amekudharau kwamba huna ulijuwalo duniani kuhusu parcels.
Sasa hapo kuna ujanja gani zaidi ya ujinga wa mtu binafsi?Hivi kwanini wanaigeria wanatuzidi sana kwa ujanja?
Haha ni jamaa Aliendaga kitambo huko anafanya mishe mishe zake tu za maisha fresh...sasa last month akasema nataka nikutumie zawadi nkamwambia now niko busy fanya mwezi juni sasa ndio kanambia inshu ya kutuma ni ghari nikamwambia wait niulize ntakucheki...maybe kuna best way yakutuma na kupokea simplicity karibuHana nia ya kukutumia, hizo ni sound tu, achana naye hivyo vitu Bongo vipo kibao, jichange utanunuwa kwa pesa zako, achana na huyo mpumbavu, kwanza amekudharau kwamba huna ulijuwalo duniani kuhusu parcels.
Halafu usije kukuta umeangukia kwenye mikono ya Wanigeria wanakwambia uwatumie pesa za kusafirisha, shtuka unapigwa sasa hivi.
No ni tz wa uraia wa USA piaTuanzie hapa kwanza, je huyo rafiki yako ni mnigeria? Ukijibu ndio omba mods waufute uzi wako.
Mwambie acha sound, mzigo apeleke Fedex wapime kilo ataambiwa gharama.Haha ni jamaa Aliendaga kitambo huko anafanya mishe mishe zake tu za maisha fresh...sasa last month akasema nataka nikutumie zawadi nkamwambia now niko busy fanya mwezi juni sasa ndio kanambia inshu ya kutuma ni ghari nikamwambia wait niulize ntakucheki...maybe kuna best way yakutuma na kupokea simplicity karibu
UhakikaMwambie acha sound, mzigo apeleke Fedex wapime kilo ataambiwa gharama.
Au apeleke Posta ni cheap dunia nzima watapima kilo atapewa bill.
Sielewi ni kwa nini Watanzania wanapenda longolongo?
Kama hawezi akutumie pesa ununuwe Bongo hivyo vitu vimejaa kibao asilete longofya.
Nime info's zao nifanye mawasiliano yako mkuuKama ni mzigo wa maana na unaeleweka tafuteni connection za watu wanaosafiri sana akubebee mzigo wako. Kuna hawa wanaowasaidia watu kwenda shule za Ulaya kama Tassaa nadhani utapata watu huko.
Twitter (tassaa99) na Insta pia nadhani wanatumia jina hilo.Nime info's zao nifanye mawasiliano yako mkuu
kuna jamaa wanaitwa dikena, wapo instagram wachekiHabari wana jamii forums.
Nipo na rafiki yangu yupo USA,mji wa califonia anahitaji kunitumis zawadi huku nchini Tanzania, anadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel ,msaada nifanyeje ili ni mshauri inifikie zawadi yangu ni digital portable computer na simu kwa wenye uzoefu tafadhari.