Naweza kusaidia kupata shule nchini india

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
23
Habari wakuu

wewe ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kusoma nje ya nchi?

umemaliza kidato cha sita na unataka kujiunga na elimu ya juu nje ya nchi?

umemaliza form four ila unataka kusoma masomo ya P.U.C (PRE UNIVERSITY COURSE) nje ya nchi??

Ninaweza kukusaidia vitu vifuatavyo

(1) kukutafutia shule

(2) kukutafutia Passport na Viza

(3) kuandaa arrangements za kupokelewa India

(4) kusaidiwa kutafutiwa aidha Hostel au nyumba za kuishi

Vyuo vinapokea wanafunzi tayari hivyo basi ni wewe hapo

Ongea na sie Facebook tuone tutaganyaje

vile vile unaweza kuni PM kwa maelezo zaidi
 
  • Habari wakuu

mmmmmh hali ya hewa sio nzuri huko...
 
Je wewe ni umemaliza form six na unataka kwenda kusoma masomo yako ya degree nchini India..?

Ninaweza kukufanyia admission za kimasomo nchini India
Ambapo mie nitakusaidia vitu vifuatavyo

(1) Kukutafutia chuo bora
(2) Kukusaidia process za safari
(3) Kukupokea nchini India
(4) Kukutafutia nyumba au hostel nchini India

Ni pm namba yako au drop a post with your number na nitakungurumishia simu ASAP
 
na vipi kuhusu masters degree?? nayo unatafutia watu pia?
 
Je wewe ni umemaliza form six na unataka kwenda kusoma masomo yako ya degree nchini India..?

Ninaweza kukufanyia admission za kimasomo nchini India
Ambapo mie nitakusaidia vitu vifuatavyo

(1) Kukutafutia chuo bora
(2) Kukusaidia process za safari
(3) Kukupokea nchini India
(4) Kukutafutia nyumba au hostel nchini India

Ni pm namba yako nitakupigia au drop a post with your number
 
Management Studies

There is unprecedented competition in the marketplace today...
Courses :

BCA ,

BBM ,

B.Com
,

MBA

Pharmacy

Pharmacy is concerned with every aspect of drugs and medicines...
Courses:

Pharm .D,

M.Pharm,

B.Pharm,

D.Pharm

Nursing

Nursing, a profession that recalls the name of Florence Nightingale is indeed...
Courses :

M.Sc
,

B.Sc(Post),

B.Sc(Basic)

PU College

Courses : Science, Arts, Commerce

APPLY SASA TUNAWEZA KUKUSAIDIA KUFANYA APPLICATION

NI PM

NA HIZI NI PICHA YA CHUO TUTAKACHOKUPELEKA

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…