Naweza kusoma degree?

aliyechoka

Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
23
Reaction score
4
Wana JF Naomba mnijuze kama naweza kusoma degree kwa kutumia matokeo ya certificate, nina second upper class! naomba mnijuze
 
No huwezi...kasome diploma kwanza! ordinary diploma...
 
wana jf naomba mnijuze kama naweza kusoma degree kwa kutumia matokeo ya certificate, nina second upper class! Naomba mnijuze
kweli wewe umechoka,,utarukaje certificate mpaka degree bila ya kusoma diploma
 
nenda diploma mkuu...only two years japo inategemea na cert yako...then if u wish utapata degree.....
 
Wana JF Naomba mnijuze kama naweza kusoma degree kwa kutumia matokeo ya certificate, nina second upper class! naomba mnijuze

waweza mwaya check na watoto wa sheikh yahya watakuonyesha nyota yako kama unawdeza ruka diploma ama lah nenda kagera easy uliza kwa sheikh yahya bin hussein bin hayat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…