wadau kama kuna mtu anajua chuo chochote cha private ambacho unaweza omba kusoma diploma za course za afya bila kupitis nacte anijulishe jamani
Kuna hatar ya kuchomwa sindano za ng'ombeNahisi unaweza kupata direct entry moja kwa moja chuoni.
Kam college of health science, city college, st.Andrew hiki kinachukua mpaka div4 ya arobaini.