Naweza kusoma huku nikiwa natafuta pesa ya kujikimu na kujilipia ada?

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Inawezekana kusoma? yaani naweza kusoma huku nikiwa natafuta pesa ya kujikimu na kujilipia ada? Je, kuna utaratibu wa chuo kumpa mtu muda wa kufanya kazi za kujiingizia kipata na kufanya masomo nyakati za jioni?

Zile assignment, group disc huwa inakuwajee? wajuzi naomba wanifahamishe.
 
Ni ngumu ila inawezekana kabisa...kuna watu nawafahamu wanasoma na wanafanya harakati zao kama kawaida mfano

Kuna biashara kama za uwakala wa tigopesa,mpesa,halopesa chuoni unaweza kufanya bila athari yoyote katika masomo yako
 
Hii njema sana nimeipenda
 
Inawezekana kusoma? yaani naweza kusoma huku nikiwa natafuta pesa ya kujikimu na kujilipia ada? Je, kuna utaratibu wa chuo kumpa mtu muda wa kufanya kazi za kujiingizia kipata na kufanya masomo nyakati za jioni?

Zile assignment, group disc huwa inakuwajee? wajuzi naomba wanifahamishe.
Ukiwa na nia, nidhamu ya muda na kuweza kujisimamia mwenyewe ina wezekana. Jiunge Open University of Tanzania. Wapo nchi nzima na ada ni nafuu na wanatoa elimu bora ni wewe tu na jitihada yako ya kusoma.
 
Back
Top Bottom