Naweza kusoma nini na chuo kipi kwa division four point 33

lutome

Senior Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
148
Reaction score
26
Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.
 
Si wanataka mrudie mitihani? Hiyo grade hata kuchunga ng'ombe huruhusiwi. Labda siasa.
 
Unaweza kujiunga chuo ili kufanya mitihani ya NABE
 
Labda nini sababu ya wewe kufeli
 
Div 4 na div 0 hamna tofauti, ila ni.kuzidiana kufeli..Masikini...Nasikia lakini eti mtarudia tena mtihani..
 
Na mimi nina ndugu yangu naye amepata ya 33,nikashauriwa labda arudie form 3 kwa private school,naombeni msaada nianzie wapi na ni shule gani zilizopo arusha,kilimanjaro,tanga na dar.
Msaada tafadhali
 
Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.

Kwenye chuo kikuu cha Hard Knocks hatujali hizo divisheni zenu za NECTA.

Wewe kama una common sense basi tuma maombi yako kwenda ofisi ya mrajisi.
 
Kasome kozi za ukutubi Bagamoyo, Chuo cha RUCO Iringa pia wanatoa kozi hii. Veta Kasome upishi na uaandaaji wa meza. Zitakutoa tuu ndg yangu lutome
 
Last edited by a moderator:
Jaman matokeo yameniacha
vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni
division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.

Pitia njia aliyopita nape wa ccm. Tafuta college ambayo imesajiliwa na VETA au NACTE. Piga zako certificate then diploma alafu unatafuta chuo kama CBE, maisha yanasonga mbele. Ila inakubidi uwe na pesa ya kutosha ya kujisomesha na pia unatakiwa ukaze hayo matakoo usome sasa, usione raha kufeli. Kwa maelezo zaidi mtafute nape anaweza kukupa mwanga zaidi...
 
labda vile vya chuo kipo ghorofa ya tatu, zaidi ya hapa points 33 ambayo ni D mbili kurudi chini hauwezi ukapata chuo
 
Yesu kristo wa Nazareth ndiyo jibu lako la maisha yako, kwake hakuna lisilowezekana.
 
Nape Nnauye alifeli kama wewe na sasa ni mropokaji. Muulize alifanyaje
 
Wasiliana na Nape akupe njia alizotumia..
Otherwise kuwa housegirl au houseboy.
 
Jaribu kusetle kwanza kimawazo ucpaparike mdogo wangu nae ana division kama yako na point hiyohiyo ila kufeli co mwisho wa maisha na nyie co wa kwanza then njia pekee ya kufuata ni kureseet2 cdhani kama mnaweza mkafanikiwa kupata chuo kwa point hiyo..... Be strong Guys Dats how lyf Is!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…