Naweza kusoma nini na chuo kipi kwa division four point 33

nenda mgambo utaajiriwa na KK security mshahara 200 000 kwa mwezi utapata mtaji wa biashara ndogo ndogo.
Au kama vipi jiunge na siasa si unamuona maji marefu anavyokula nchi!
 
There is no shortcut. Go back to school. How old are you? List down all sources of your failure (Be realistic). Work out to excel your future. God Knows and he will stand-up with you strongly.


I wish you success. "Every one has borne to succeed if any one tells you differently he/she is ignorant of universal truth" however, Life has no backspace.
 
subiri vyuo vya gorofa ya 3 au chuo kipo mkabala na.....
 

uzidishiwe na mola wako
 

Nimekubali. Asomaye na afahamu.
 
Hata kuwa house girl huwezi coz utaishia kuvunja ndoa za watu bure.

Chuo cha u-house Girl EATV

Nape Nnauye alifeli kama wewe na sasa ni mropokaji. Muulize alifanyaje

Wasiliana na Nape akupe njia alizotumia..
Otherwise kuwa housegirl au houseboy.

jamani muwe mnaangalia na ushauri wa kumpa mtu. Kumbukeni kabisa huyu kijana mdogo na kwa matokeo hayo amechanganyikiwa, so he/she needs a constructive advice badala ya hizo comedy zenu mlizomwandikia hapo juu. Lets grow up, mnasikitisha ni bora kupita bila kutoa ushauri wowote
 
Nakushauri gombea cheo Chadema kwa ufauli wako huo utapata cheo kikubwa.Kwani hata mwenyekiti wao umemzidi elimu
 
Mbona wengi mnaleta kejeli badala ya kumsaidia? Au mmesahau kuwa haya matokeo yamesababisha vifo vitatu?

Anyway mi naamini kufeli form sio mwisho wa elimu. Katafute kijikozi chochote cha kuanzia ktk ngazi ya certificate kisha utaendelea na diploma mpaka degree.naamini unapenda elimu na una uchungu wa kufanya vibaya. Kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi.....
 
Nionavyo mimi watoto kufeli; Serikali ya magamba imelemewa na wanafunzi wanafaulu kila mwaka.Vyuo vikuu mikopo,hakuna,asilimia kubwa ya wanavyuo wanaelimika na kuwa wapinzani wa serikali iliyopo madarakani.Halafu hata wakihitimu bado ni shida kwao ajira hakuna.wameona bora wabaki mitaani wawe maskini wa kutupwa kabisa.ukipenda kumtawala mtu mnyime elimu,
 
nenda mbele hata wenye zero wanarudi na degree........usikate tamaa:lying:
 
Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.

Nenda CBM (College of Business and Management) Sinza Madukani ni chuo cha biashara na uongozi, kinapokea kuanzia D MBILI tu!!(Foundation course kwa miezi 3 then unajiunga na certificate) WASILIANA NAO KWA 0712201645/0767201645
 
kwa alama hizo huwezi pata chuo chochote labda ukarudie mtihani
 
Na mimi nina ndugu yangu naye amepata ya 33,nikashauriwa labda arudie form 3 kwa private school,naombeni msaada nianzie wapi na ni shule gani zilizopo arusha,kilimanjaro,tanga na dar.
Msaada tafadhali

Check na Mby pia, Itende High school kuna programu hiyo tena kwa punguzo la ada. Nicheki kama uko interested; 0754734009
 
Nachukua nafasi hii kutoa ushauri kwa wote wenye matokeo mabaya kama hii.hamna njia nyingine zaid yaku resit! ndg zangu
 
Chuo gani watakaokubali na matokeo hayo swala arudie form one tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…