Naweza kusoma nini na chuo kipi kwa division four point 33

Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.

inabidi ujiulize kwanza, what reasons made u to fail???????je ulikuwa kilaza? au ilikuwa facebook kama iliyonikuta mimi...ukishaelewa sababu,naamini utaweza pata ufumbuzi kwani hata ukirudia hautacheza tena kwakuwa ushafunzwa na ulimwengu.yalinikuta..ila thanks niko mbaali so...usikate tamaaa...
 
Nenda VETA wanapokea,chuo cha uhazili TABORA wanapokea lakini watakwanzisha na FOUNDATION COURSE for three month
 
Me nakushauri uludie kidato cha 2 au 3 hyo ndio njia pekee ndug yang me skushauri kwenda kwa vyuo maana una alama mbaya
 
kamuue amim.. then rudia mtihani.........
 
kweli kbs
 
sawa jaman nimepokea kila aina ya ushauru wenu,nawashukuru sana na sijakata tamaaa.
 
Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.

nenda chuo cha CCP MOSHI huko nafasi huwa zipo bwerere! Ila ukienda huko achana na matumizi ya face buku.
 
Nenda Mwenge pale nunua vifaa uanze kufanya pedicure n manicure na kuosha wanawake za watu miguu. Utatoka!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo mkuu hata Ualimu huwezi pata. Vyuo kama si Veta basi ni Polisi au mgambo! Kubwa na muhimu kuliko vyote ni chuo cha ukulima, shika jembe ukalime. Mali iko shambani!
 
Nenda TRACDI DODOMA usome CERTIFICATE in COMMUNITY DEVELOPMENT
 
Usikate tamaa mdogo wng!!

Unaweza kuweka alama za masomo yako mawil uliyofaulu? Jarbu chuo hk
Watakupokea
MUST College
Or hapa
Veta ukianzia veta ukimalza hy nta lever 3 mbona itakuwa rahs kwako kufkia elimu ya kina nape
Kwa mujibu wa nacte mtu akimaliza nta lever 3 anaweza kufka mpaka nta lever 6 ambayo ni diploma cha msing komaa mdogo wangu.
 
Kama una nia ya kujiendleza kwa haya maisha rudi form 3 kz hali ya kitaa ushaona ni tyt rudi ukaze buti
 
Wewe nawe,ni juzi tu hapa hoja kuhusu elimu ya Nape ilirindima hapa JF akipata point 29 kidatu cha nne,huyu dogo amepata point 33 hawajaachana sana leo hii Nape ana masters na yeye ni member hapa kwa nini asitumike kumshauri huyu kijana njia alizopita hadi leo hii ni Katibu mkuu chama tawala,amewazidi hata wale waliopasi na division 1 na 2 maisha yake safi VX inamsubiri mlangoni anataka nini zaidi???
 
nenda kk security group!
Wanapokea wa2 wote wenye vyeti vya form four!
 
Bado tupo kwenye msiba wa ndugu zetu form four hivyo tuungane wote kwa kusema "NECTA IMETOA NECTA IMETWAA, FORM FIVE WALIIPENDA LAKINI KITAA KIMEWAPENDA ZAIDI." Naomba sote kwa pamoja tuitikie Amen.
 
Mbona watu mnakatisha tamaa wengine tu, vyuo vipo vingi na vizuri unaweza kusoma, pita katika vyuo mbalimbali utapata msaada.
 
tedo;Div 4 na div 0 hamna tofauti, ila ni.kuzidiana kufeli..Masikini...Nasikia lakini eti mtarudia tena mtihani..

mmmh hapa hakuna ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…