teh! Teh! Umenikumbusha mbaaaaaaaaaaali sana.subiri vyuo vya gorofa ya 3 au chuo kipo mkabala na.....
mdogo wangu kapata four ya 29 ila anaenda kurudia form 2, no way,Nadhani ungerudia form two ili ujiweke vema zaidi
Na mimi nina ndugu yangu naye amepata ya 33,nikashauriwa labda arudie form 3 kwa private school,naombeni msaada nianzie wapi na ni shule gani zilizopo arusha,kilimanjaro,tanga na dar.
Msaada tafadhali
hakuna wasiwasi mpeleke shule moja inaitwa st.joseph iko maeneo ya ngarenalo kama zimo lazima afaulu.
Mkuu kwa hiyo pass mark yako labda UDOM tu ndio patakufaa, mi sisemi mengi.
Unatafuta kutukanwa
kwanini atukanwe mkuu?