Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Ni ukweli wa wazi kuwa wakulima wengi wanamiliki pikpiki hasa za kichina na India. Lakin zinatumika kwa usafiri tu. Nina wazo la kuongeza kifaa kidogo ili hiyo hiyo pikipiki iweze kumpeleka mtu shambani na akakifunga tu pikpik ikawa pump ya umwagiliaji.
Najua kila mpenda kilimo anaelewa tuko dunia ya kilimo cha umwagiliaji. Ila pump ni ghali pia. Lakini unaweza kuwekeza na kushirikiana na sido na ukaambulia wengine kutengeneza hata hujarudisha pesa.
Je, naweza kudhibiti hiyo bidhaa nikasupply mimi mbunifu tu? Yani je aina hii ya ubunifu inaweza kupewa hadhi ya hatimiliki? Au ndo soko huria!