Inaweza ikavuta maji kisimani?Water pump ya petrol inauzwa laki mbili na nusu tu yenye bomba la nch 3 1,000 liters/minutes mtu aanze kuhangaika na kufungua funga ya pikipiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli wa wazi kuwa wakulima wengi wanamiliki pikpiki hasa za kichina na India. Lakin zinatumika kwa usafiri tu. Nina wazo la kuongeza kifaa kidogo ili hiyo hiyo pikipiki iweze kumpeleka mtu shambani na akakifunga tu pikpik ikawa pump ya umwagiliaji.
Najua kila mpenda kilimo anaelewa tuko dunia ya kilimo cha umwagiliaji. Ila pump ni ghali pia. Lakini unaweza kuwekeza na kushirikiana na sido na ukaambulia wengine kutengeneza hata hujarudisha pesa.
Je, naweza kudhibiti hiyo bidhaa nikasupply mimi mbunifu tu? Yani je aina hii ya ubunifu inaweza kupewa hadhi ya hatimiliki? Au ndo soko huria!
[/QUOT
Ingia Google wahindi washafanya kitambo pump za umwagiliaji kwa kutumia pikipiki.Sio kumwagilia tu inafanya kazi zote mfano kulima, kupalilia,kupuliza dawa,kupukuchua mahindi,kufua umeme,kukata nyasi,nk.
QUOTNi ukweli wa wazi kuwa wakulima wengi wanamiliki pikpiki hasa za kichina na India. Lakin zinatumika kwa usafiri tu. Nina wazo la kuongeza kifaa kidogo ili hiyo hiyo pikipiki iweze kumpeleka mtu shambani na akakifunga tu pikpik ikawa pump ya umwagiliaji.
Najua kila mpenda kilimo anaelewa tuko dunia ya kilimo cha umwagiliaji. Ila pump ni ghali pia. Lakini unaweza kuwekeza na kushirikiana na sido na ukaambulia wengine kutengeneza hata hujarudisha pesa.
Je, naweza kudhibiti hiyo bidhaa nikasupply mimi mbunifu tu? Yani je aina hii ya ubunifu inaweza kupewa hadhi ya hatimiliki? Au ndo soko huria!
Yes
Wakenya wamekopi kwa wahindi wahindi wamekopi kwa wajapan.zile pikipiki zilizoitwa 110 za mabwana shamba enzi hizo ndizo maalumu kwa kazi hizo za shamba,kulimia,nkWashafanya wakenya hata wewe ndio ulipojua ilo then unakuja eti unawazo kakoje ulale
Unaweza ukafunga pump kwenye engine au kwenye tairi la nyuma