Naweza kutengenezewa cheti kimoja baada ya ku-reseat?

Naweza kutengenezewa cheti kimoja baada ya ku-reseat?

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
284
Uki re seat mtihani.ukafaulu unaweza kutengenezewa cheti kimoja badala ya viwili cha kwanza na cha reseating au haiwezekani.



Natanguliza shukrani kwa mwenye ufahamu
 
sababu ya kutaka cheti kimoja ni ipi? Au unataka kupoteza ushahidi kuwa elimu yako ni ya kuunga unga? Kama ungetaka cheti kimoja ungekaza buti kwenye first sitting ili ufaulu vizuri.
 
Back
Top Bottom