Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana mkuu, huko hata pesa ya Tanzania unatumia bila shaka yeyote...🤣Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
Unaweza kupata ikiwa hapo hospitali utakutana na maandishi yanayosomeka "TUNAPOKEA KADI YA NHIF HAPA"Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
Unaota weweWakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?