Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Oct 19, 2010 #1 Nimejitafiti na kugundua sijawahi kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu Tanzania. Hivi naweza kutumia kalamu yangu kupiga kura? Je, kama naweza inatakiwa kuwa ya rangi gani? Au ilimradi niweke permanent mark/ tick kwenye karatasi?
Nimejitafiti na kugundua sijawahi kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu Tanzania. Hivi naweza kutumia kalamu yangu kupiga kura? Je, kama naweza inatakiwa kuwa ya rangi gani? Au ilimradi niweke permanent mark/ tick kwenye karatasi?
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 Oct 19, 2010 #2 mama yangu weeeeeee!