Naweza kutumia kilevi baada kutumia dawa ya kofta?

Naweza kutumia kilevi baada kutumia dawa ya kofta?

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Wadau nimetafuna cofta je naweza kutumia kileo chochote?
 
Acha kutuchora, mbona ukinywaga unakula na pipi kali wakati unarudi home kuondoa harufu?

Sasa cofta na pipi kali zina tofauti gani? Alafu pia haujala ile umemumunya tu.
 
Acha kutuchora, mbona ukinywaga unakula na pipi kali wakati unarudi home kuondoa harufu?

Sasa cofta na pipi kali zina tofauti gani? Alafu pia haujala ile umemumunya tu.
Sasa si ni dawa ndio maana nimeona niombe ushauri !
 
Ahsante, maneno hayo! nimeogopa nisije nikafa. Ngoja niagize sasa, na haya maji naya mwaga nilikuwa nimeagiza maji ya Kilimanjaro madogo! hahahahaha
Aaagrrrr... wenzio kofta tunamungunya huku tunagonga nyagi... acha woga. Kunywa bia, okoa maji
 
Back
Top Bottom