Sasa si ni dawa ndio maana nimeona niombe ushauri !Acha kutuchora, mbona ukinywaga unakula na pipi kali wakati unarudi home kuondoa harufu?
Sasa cofta na pipi kali zina tofauti gani? Alafu pia haujala ile umemumunya tu.
Ahsante young sumaInawezekana tuu
Gonga balimi mama....Wadau nimetafuna cofta je naweza kutumia kileo chochote?
Ndio zipoKofta!!!! Bado zipo?
Aaagrrrr... wenzio kofta tunamungunya huku tunagonga nyagi... acha woga. Kunywa bia, okoa majiAhsante, maneno hayo! nimeogopa nisije nikafa. Ngoja niagize sasa, na haya maji naya mwaga nilikuwa nimeagiza maji ya Kilimanjaro madogo! hahahahaha
hahahahahah,Aaagrrrr... wenzio kofta tunamungunya huku tunagonga nyagi... acha woga. Kunywa bia, okoa maji