Habari za asubuhi mpendwa Evalyn SaltKakutia nani, mimba tujue sie?
Dalili za mimba changa hizo mpendwa wangu monicccaHbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.
Nisaidie je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?
Nawasirisha kwa upole na inyenyekevu wa hali ya juu.
NDOA YAKO IMEJIBU MONICCCAHbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.
Nisaidie je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?
Nawasirisha kwa upole na inyenyekevu wa hali ya juu.
Hbr za Leo wadau!

nakuomba monicca usitoe mimba yangu mungu akileta mtoto analeta na gari lake zaa tuongeze magariHbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.
Nisaidie je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?
Nawasirisha kwa upole na inyenyekevu wa hali ya juu.
monicca huyo tena! duh kweli huyu ndio Monicca! ehe unamtukanaje huyo mume wako?Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.
Nisaidie je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?
Nawasirisha kwa upole na inyenyekevu wa hali ya juu.
Hahahah watu mmefukunyua ileeee uzi wake ya last month... Shikamoo mkuu... [emoji23] [emoji23]Ina maana manii ya moto hushikisha mtu mimba? teh