Naweza nikapata uruma UDSM kwa matokeo haya katika sheria

Sultani kambe

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
63
Reaction score
4
Kwa mwenye uwakika naomba ikiwezekana nipate contact, nimepata DIV-2.12 JE WENYEKUJUA NAWEZA KUAPPLY LAW UDSM NA KUPATA? Km itashindikana naombeni msaada katika kozi nyingine zitakazo nipeleka UDSM
 
Jamani siombi matusi wala kejeli bali ushauri kwa wale wanaofahamu
 
Kwa mwenye uwakika naomba ikiwezekana nipate contact, nimepata DIV-2.12 JE WENYEKUJUA NAWEZA KUAPPLY LAW UDSM NA KUPATA? Km itashindikana naombeni msaada katika kozi nyingine zitakazo nipeleka UDSM
UDSM Sheria wanachukua mwisho Division I point 6. Kuhusu kozi nyingine inategemeana umesoma Combination gani? Unaweza kunitumia Private Message nitakufafanulia zaidi
 
Bachelor of arts in history au in kiswahili utapata.ila LLB sahau.
 
Dogo wewe dhumuni lako ni kusoma sheria UDSM peke yake? Kama ni hivyo endelea tu na mawazo yako, ukikosa chuo kabisa ndo utatia akili na kugundua kuwa unaweza soma sheria vyuo vingine na ukamaliza ukawa mwanasheria mzuri tu!
 
Kwa mwenye uwakika naomba ikiwezekana nipate contact, nimepata DIV-2.12 JE WENYEKUJUA NAWEZA KUAPPLY LAW UDSM NA KUPATA? Km itashindikana naombeni msaada katika kozi nyingine zitakazo nipeleka UDSM

Ivi ao wanaosema kiswahili kiwe luga ya kufundishia wana uwakika wanafunzi watafahuru kweli?
 
uruma???
What a hell is that? and you are calling urself a form VI, gosh! Mitoto ya siku hizi mkoje na vichwa vyenu hivyo!
wewe si umesoma arts kabisa? Damn!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa mwenye uwakika naomba ikiwezekana nipate contact, nimepata DIV-2.12 JE WENYEKUJUA NAWEZA KUAPPLY LAW UDSM NA KUPATA? Km itashindikana naombeni msaada katika kozi nyingine zitakazo nipeleka UDSM

kwa point zako unaweza kupata LAW ENFORCEMENT,ni kozi nzuri.
 
...jamani UDSM si kuna certificte LAW..? ndo shida yake huyu kiumbe.... C kila mtu aliye pale yupo kwa DEGREE
 
Ivi ao wanaosema kiswahili kiwe luga ya kufundishia wana uwakika wanafunzi watafahuru kweli?

Jamani Kiswahili nacho ni tatizo la taifa. Hebu angalia hizo sehemu. Kiswahili kinaandikwa hivi. Hivi hao, lugha, uhakika, watafaulu.
 
Kwa mwenye uwakika naomba ikiwezekana nipate contact, nimepata DIV-2.12 JE WENYEKUJUA NAWEZA KUAPPLY LAW UDSM NA KUPATA? Km itashindikana naombeni msaada katika kozi nyingine zitakazo nipeleka UDSM

kwanza div 2 unaonekana umeigizia mtihani...Uruma ndo nini?we nenda kalime huwezi mambo ya kusoma
 
UDSM Sheria wanachukua mwisho Division I point 6. Kuhusu kozi nyingine inategemeana umesoma Combination gani? Unaweza kunitumia Private Message nitakufafanulia zaidi[/QUOTE

huyu akasome hotel management :A S kiss:
 
Ivi ao wanaosema kiswahili kiwe luga ya kufundishia wana uwakika wanafunzi watafahuru kweli?

Hamna kazi rahisi ka ku criticize watu...We mwenyewe wale wale,
Luga = lugha
Uwakika= uhakika
Ivi = hivi
 
kama nikuja UDSM tu ndo hitaji, bas jaza bachelor of arts in archaeology uwezi kukosa hata kama huna bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…