Naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti?

Naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti?

r0c6x

Member
Joined
Oct 17, 2020
Posts
16
Reaction score
10
Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne.

Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.
 
Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne, Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.
Lazima upite certificate ya ICT mwaka mmoja, uende siploma ya ICT miaka miwili kisha utamvulike na NACTE kwa kupewa AVN , kisha utaweza kusoma kozi hiyo unayoipenda.
 
kwa ushauri tu achana na com engineering soma Computer science / computer security ukiona umeshindwa ni heri usome electronics kama unapenda hiyo engineering
 
kwa ushauri tu achana na com engineering soma Computer science / computer security ukiona umeshindwa ni heri usome electronics kama unapenda hiyo engineering
Asanteh sana mkuu, je comp science kwa vigezo vyangu naweza soma chuo gani
 
Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne, Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.

Inawekana kabisa. Cha msingi uwe na gpa walau 3.5!

Tofauti na CE pia kuna software engineering na electronics engineering.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ndy na sina jins sas ila am Expected Hacker
 
ngoja niwape mchongo kwa equivalent serious sciences courses GPA is not an issue. issue ni cheti chako cha form four mfano iyo course yako ukiona neno " engineer" chuo kama udsm hapo utakuta math is mandatory kuanzia C na uwe umefaulu masomo ya science manne ya science. sasa lowest equivalents kwa chuo kama udsm point 26 tu
 
Back
Top Bottom