Lazima upite certificate ya ICT mwaka mmoja, uende siploma ya ICT miaka miwili kisha utamvulike na NACTE kwa kupewa AVN , kisha utaweza kusoma kozi hiyo unayoipenda.Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne, Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.
MUSTchuo gan??
Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne, Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.
unaweza kama st joseph lakin gpa 3.5Asanteh sana mkuu, je comp science kwa vigezo vyangu naweza soma chuo gani
gpa ya 4Ngoma nzito me na 4
Alafu ukiwa unaandika andika kwa ufasaha sio unaandika kama unachati na kademu kako huko whatsapp.Ndy na sina jins sas ila am Expected Hacker
Sawa mkuu nimekuelewaAlafu ukiwa unaandika andika kwa ufasaha sio unaandika kama unachati na kademu kako huko whatsapp.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
anawezaje kwa mfano?Unaweza kiongozi