kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi kupitia Kodi zetu.
Naamini Mwenyenzi Mungu alipowapa nafasi yakuosoma wakawa na mawazo mapana dhidi ya issue wanazokabidhiwa hakufanya kwa bahati mbaya. Alikuwa na kusudi la kuwafanya mawakala wa kusimamia misingi Bora nchini. Walipofanikiwa wamemsau na Sasa wanakesha wanamtumikia shetani kwa kuangalia namna yakumfurahisha mwanadamu na Mungu.
Nawakumbusha, kazi waliyotumwa kwa kupewa madaraka ni kuifanya Tanzania eneo sahihi lakumtukuza Mungu na siyo sehemu ya chuki, kukosa haki, usawa na kuabudu miungu ikiwemo wanadamu.
Ili kusudi lake muumba litimie lazima ataondoa taratibu wale wote wanaojua ukweli lakini wamesimama na shetani kutumia maarifa waliyopewa kusema uongo na kuwatumikia wanaowazunguka na familia zao. Upo wakati utafika hawataweza kusema ukweli Wala uongo maana muda wao wakumsaidia Muumba kufanya kazi utakuwa umekwisha na atakuwa ameinua wengine.
Niwaombe wazee na vijana mnaojua Hitaji la Tanzania ni na mnapotosha ,jisahihisheni. Muda wenu utapungua kadri kibri kinavyoongezeka. Wapo walioamini wanaweza kuua na kujiwekea watawala wapendavyo wao na si apendavyo Mungu. Wapo walioshangilia kuingia kwenye utawala kwa hila na mbinu chafu...niwaombe tunapowakumbuka wao na matendo yao tukumbuke ninyi ndio mnaofata na amtakwenda na chama Wala V8 wala chochote mtakwenda na maovu yenu.
Bora kuishi maskini ukamaliza mwendo kwa haki kuliko kuishi kifahari ukamaliza mwendo kwa fedhea