naweza nkapata kaz

naweza nkapata kaz

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
778
Reaction score
269
natumain wanajf Mungu amewaamsha salama mimi nina form six qualification na insurance certificate of ifm bada ya hapo ckuweza kuendelea tena mwaka 2008. cjafanya kazi sehemu yoyote sijui
Kama naweza kupata kazi, naombeni mnishauri na kama kuna kaz sehemu yoyote naomba mniambie nina shida naomben msinikejel au kunitukana
Asanten na asubuh njema
 
jitokezen basi wakuu
 
Kwa nin usirudi shule mkuu?maana hata hao wenye bachelor wako wengi 2 mtaani.
 
Back
Top Bottom