Naweza pata haya magari manual?

Mlafu

Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
63
Reaction score
53
Naweza pata haya magari manual?

1. Noah
2. Rave 4
3. Mitsubishi gd (Min pajero)
4. Suzuki Escudo
 
zinaptkn ila adim xan mitaan lbda kam unatoa special order af noah manual mjomb cjui n ushamb wang au....ila kma spana mkonon kibongo inawezekn hutujawah kushindw kit
 
zinaptkn ila adim xan mitaan lbda kam unatoa special order af noah manual mjomb cjui n ushamb wang au....ila kma spana mkonon kibongo inawezekn hutujawah kushindw kit

Noah zipo nshaziona zilikua IT
 
Labda uagize Japan kwa order special maana TOYOTA wanatengeneza gari 95% ni automatic miaka hii
Hapana, hua wanatemgeneza gari zenye mfumo wa engine zaidi ya aina moja na ujazo (cc) tofauti tofauti.

Mfano kama noah, manual pia zipo, japo muundo wa body lake hauna mvuto.

Ni gari ngumu, kwaajili ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…