Ebu uliza kama msomi... unajua ukiwa unauliza jambo kirahisi ni ngumu sana kusaidikia...
I expected you to be competent on asking in details kama msomi..
Maana ukiomba tu kirahisi mtu anaweza hisi haujui unahitaji nini...
Tiririka
Unataka nini?
Kwasababu gani?
Swali unalotaka kuuliza umejaribu kutafta majibu kwa kiasi gani?
Nikwa kiasi gani source za info hazijakusaidia mpka ukaja humu kwa msaada?
Huyo ndio msomi ambae binafsi ninaona anauhitaji...