Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,557 Reaction score 1,787 Sep 16, 2023 #1 Habari za hapa; Naweza pata hii gari wadau (sio lite ace) iwe 4WD kwa 15m ?
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,489 Reaction score 14,091 Sep 16, 2023 #2 Hiyo bei utapata ya mkononi hapa Tanzania. Engine za Diesel za kwenye hizo gari hazisumbui 1C na 2C
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,557 Reaction score 1,787 Sep 17, 2023 Thread starter #3 Offshore Seamen said: Hiyo bei utapata ya mkononi hapa Tanzania. Engine za Diesel za kwenye hizo gari hazisumbui 1C na 2C Click to expand... Kuagiza inaweza fika ngapi ?
Offshore Seamen said: Hiyo bei utapata ya mkononi hapa Tanzania. Engine za Diesel za kwenye hizo gari hazisumbui 1C na 2C Click to expand... Kuagiza inaweza fika ngapi ?
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,489 Reaction score 14,091 Sep 18, 2023 #4 Bakulutu said: Kuagiza inaweza fika ngapi ? Click to expand... Inacheza 21m mpaka 25m