NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Ngerengere jeshini.Nimeona niombe msaada kupita group hili la wajuzi wa mambo
Nilikuwa nataka kujua mahali au maduka ambayo naweza pata Camping Hammock kwa Mwanza,Dar au hata mikoa mingine.
Na je kama ipo inaweza kuwa ni bei gani
Nawakilisha kama picha ilivyo hapo chini
Kuna jamaa anauza zile portable kwa 150kNimeona niombe msaada kupita group hili la wajuzi wa mambo
Nilikuwa nataka kujua mahali au maduka ambayo naweza pata Camping Hammock kwa Mwanza,Dar au hata mikoa mingine.
Na je kama ipo inaweza kuwa ni bei gani
Nawakilisha kama picha ilivyo hapo chini
Ahsante ila sasa nataka zile ambazo unafunga kati ya mti na mti hiyo ya chini kama ni kitanda hata mimi ninacho ndani ila ahsante sana.Kuna jamaa anauza zile portable kwa 150k View attachment 3019592
Ngerengere kambini au?Nenda Ngerengere jeshini.
🤣🤣🤣Ngerengere kambini au?
Ahsante ndugu yangu bahati nzuri niko MwanzaMcheki Camp with Jackie 0752232101 yupo Mwanza anazo Hammocks na stand zake bei zinarange kwenye 150k
Karibu mwanzaAhsante ndugu yangu bahati nzuri niko Mwanza
Aisee vvm nakushukuru mno mno jana nimempigia Jackie nimeongea naye kwa kweli nitachukua kwanza hizo zenye stand hii hammock ya kutundika mtini nitatafuta taratibu.Mcheki Camp with Jackie 0752232101 yupo Mwanza anazo Hammocks na stand zake bei zinarange kwenye 150k
nitafuatilia hii kituKuna jamaa anauza vtu used anatoa mara nyingi Uturuki, uwa naziona Sana japo hazkaagi sana...
Maeneo ya kijichi