Naweza pata wapi nguo za kiume original

Naweza pata wapi nguo za kiume original

Inamonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
779
Reaction score
474
Habari waungwana, ni sehemu gani kwa hapa dar naweza pata jeans na shati og kutoka USA au sehemu nyingine ambazo sio za kichina?
Nataka jinsi kama anayo vaa vandame ( pure og).. sio hizo za akina husein pamba kali..
Plse anaye jua duka hilo kama lipo anijuze..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sifahamu duka wanalouza bidhaa unayoihitaji.

Jaribu kuagizia online unapata mzigo wako kiroho safi kabla hawajaja wa kukubeza na maneno ya kukera.
 
Screenshot_2017-09-01-20-20-25.png
Asante sana..

Sent using Jamii Forums mobile app



Waweza ingia tovuti zinazofanania na ebay unajipatia vitu orijinale mradi tuu uhakiki kama wanatuma mzigo Tanzania. Mfano wapo na hapo hilo shati la Ralph Lauren ni designer brand hiyo (mtu fulani aka nyonda ake mtufudenge anapenda ssna kuvaa nguo za Ralph Lauren) na bei yake imesimama. Ukiibbadili kwenye pesa ya madafu haraka haraka fanya kila dola 1 iwe Tsh. 2178 hapo utanunua hilo shati kwa Tsh. 101,930.4 japo hilohilo ukiilikuta kwenye butiki za bongo bei yaweza kufika laki 2 hadi 3.

Kila la kheri.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-09-01-20-20-25.png
    Screenshot_2017-09-01-20-20-25.png
    132.5 KB · Views: 108
Back
Top Bottom