Habari waungwana, ni sehemu gani kwa hapa dar naweza pata jeans na shati og kutoka USA au sehemu nyingine ambazo sio za kichina?
Nataka jinsi kama anayo vaa vandame ( pure og).. sio hizo za akina husein pamba kali..
Plse anaye jua duka hilo kama lipo anijuze..
Waweza ingia tovuti zinazofanania na ebay unajipatia vitu orijinale mradi tuu uhakiki kama wanatuma mzigo Tanzania. Mfano wapo na hapo hilo shati la Ralph Lauren ni designer brand hiyo (mtu fulani aka nyonda ake mtufudenge anapenda ssna kuvaa nguo za Ralph Lauren) na bei yake imesimama. Ukiibbadili kwenye pesa ya madafu haraka haraka fanya kila dola 1 iwe Tsh. 2178 hapo utanunua hilo shati kwa Tsh. 101,930.4 japo hilohilo ukiilikuta kwenye butiki za bongo bei yaweza kufika laki 2 hadi 3.