Naweza rudisha meseji nilizofuta zaidi ya miaka 3 kwenye email yangu

Naweza rudisha meseji nilizofuta zaidi ya miaka 3 kwenye email yangu

Hakuna uwezekano wa kurudisha kama zishatoka trash, email hakuna haja ya kudelete weka folder nyingine kama zinakusumbua. Pia mara moja moja fanya Google Takeout download data zako zote zihifadhi unapojua wewe.
 
Back
Top Bottom