ahahhaaa nna utaalam gan mm jaman..mawe gan ?[emoji39][emoji39]
Unamaanisha ule mchanga wa kutengeneza terazo stone?Nina changamoto za mwishoni ili nianze kusupply hii product kwa maana mifuko iko bei viwandani min order viroba 5000 bado kuchapa logo. Barcode na tbs na website nadhani ili nianze rasmi.
Masoko yapo na ni mengi sana
Kiongozi hongera sana...Nina changamoto za mwishoni ili nianze kusupply hii product kwa maana mifuko iko bei viwandani min order viroba 5000 bado kuchapa logo. Barcode na tbs na website nadhani ili nianze rasmi.
Masoko yapo na ni mengi sana
Nina changamoto za mwishoni ili nianze kusupply hii product kwa maana mifuko iko bei viwandani min order viroba 5000 bado kuchapa logo. Barcode na tbs na website nadhani ili nianze rasmi.
Masoko yapo na ni mengi sana