Nimejaribu kuingia sehemu tofauti zinazotoa maelekezo lakini kuna option wanaizungumzia ya ku-migrate from profile to page kwenye Facebook haipo. Kuna option ya ku-create pekee, na hapo ndio nilipokwama kama unavyoona screenshot