Huyu ameshindwa kukusaidia?Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote ulimwenguni.!
Unatumia simu au laptop?Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote ulimwenguni.!
Naomba msaada wadau maana nimehangaika tangu zamani bila mafanikio.
Miaka ya nyuma Kuna jamaa yangu aliniwekea app ilinisaidia sana, lakini Leo nikiiweka inagoma kabisa, inasema "not permission mara strickted dah nafeli sana kwa kweli.
Natanguliza shukrani,
uzi ufungwe hapaYoutube kuna mshale kabisa wa kudownload video ila hizo video zinabaki kwenye app ya youtube,
Mimi huwa nacopy link ya video naipaste kwenye app ya vidmate naidownload