Ilumine
Senior Member
- Dec 27, 2008
- 196
- 4
Naomba msaada, hivi inawezekana kuhifadhi data au mafaili yangu binafsi katika CD ninayo'burn' nikatumia 'password' fulani ili mwingine asiweze kuifungua?
Pili, inawezekana kuzuia mtu mwingine asii'copy' CD niliyotengeneza mimi? Anayejua, au mwenye programu anisaidie.
Pili, inawezekana kuzuia mtu mwingine asii'copy' CD niliyotengeneza mimi? Anayejua, au mwenye programu anisaidie.