Nawezaje ku-protect data katika CD?

Ilumine

Senior Member
Joined
Dec 27, 2008
Posts
196
Reaction score
4
Naomba msaada, hivi inawezekana kuhifadhi data au mafaili yangu binafsi katika CD ninayo'burn' nikatumia 'password' fulani ili mwingine asiweze kuifungua?

Pili, inawezekana kuzuia mtu mwingine asii'copy' CD niliyotengeneza mimi? Anayejua, au mwenye programu anisaidie.
 
Ndugu unaweza kulock file zako kuna njia mbali mbali za kuzilock kabla ya kuweza kuziingiza katika cd -- pia unapoingiza katika cd kuna programu zinazoweza kukutengenezea autorun ambayo ni lazima uweke pwd ili uweze kuona kilichopo ndani ya cd

ila sasa kuna changamoto moja cd nyingi unaweza kuzifungua kwa njia ya explore au ukiienda katika dos unaweza kulocate folders and files zilizomo katika cd bila hiyo autorun kufanya kazi ( kwa sababu technologia zinakuwa najua huko mbeleni kutakuwa na njia zaidi )

mwisho ndio kuna cd ambazo huwezi kukopy au ukizitumia baada ya muda fulani zinakwisha kazi zake ( inaangalia mzunguko ) kwahiyo kazi ni kwako ndugu yangu
 
asante sana kwa mchango ambao umeniongezea mwanga zaidi.Mimi ninazitafuta programu hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…