Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio msaada wa jambo Hilo sihitaji kusafiri kwenda huko ikiwa Kuna mbadala tujuzane
Ingia alibaba,Ngoja wenye uzoefu waje
Nawezaje kuagiza laptop kwa ajili ya kuuza, ni masoko Gani ambayo ni Bora,
Laptop 100 mpaka kunifikia inaweza gharim kiasi gani?Ingia alibaba,
Chukua mzigo mkubwa angala kuanzia 100pcs
Safirisha kwa meli.
Faida nikubwa. Sababu kila laptop moja utaiuza mara mbili ya ghrama utakayotumia .
View attachment 3184398
//
View attachment 3184399
=
View attachment 3184400
- Ukihitaji kutafutiwa supplier wa laptop, kununuliwa, kusafirishiwa na kufikishiwa mahala ulipo usisiste kunitafuta. | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
- Mzigo wa meli huchukua Miezi miwili, Hivyo hakikisha inakuwa ni mzigo mkubwa wa biashara.
Ingia alibaba, search na nipe sample link. Then nitaendelea kuanzia hapo.Laptop za uwezo wa kawaida kuanzia gen 7 ,... Core i3 na kuendelea
Ndio msaada wa jambo Hilo sihitaji kusafiri kwenda huko ikiwa Kuna mbadala tujuzane
Mkuu umeelewa nilichouliza nimeuliza masoko mazuri ya bidhaa ili nikanunie na sio masoko ya mimi kuuza mimi nauza simu, lakini sijawahi kuagiza mwenyewe. Nachukua kutoka kwa wauzaji wa humu humu .Mfanya biashara makini: Hawezi uliza:
- Upatikanaji wa bidhaa.
- upatikanaji wa Masoko
Ukitaka kuingia kwenye hiashara lazima Uwe na ujuzi wa Soko vizuri ndo confidence ya kuanza biashara, swali unaloweza kuuliza ni upatikanaji wa bidhaa!
Mkuu umeelewa nilichouliza nimeuliza masoko mazuri ya bidhaa ili nikanunie na sio masoko ya mimi kuuza mimi nauza simu, lakini sijawahi kuagiza mwenyewe. Nachukua kutoka kwa wauzaji wa humu humu .
Hivyo nilitaka kutanua hii business ijumuhishe vitu hivyo
Kama unanunua humuhumu af ujamtaji mkubwa umefeli bro, pata elimu ya kuagiza nje.. mimi nilichukua miezi sita kuijua lkn nilianza kwa majaribio ila now ninauzoefu, japo sio mkubwa ila niliagiza vifaa 3 times na vimenifikia,kama una soko zuri utapata faida sanaa.Mkuu umeelewa nilichouliza nimeuliza masoko mazuri ya bidhaa ili nikanunie na sio masoko ya mimi kuuza mimi nauza simu, lakini sijawahi kuagiza mwenyewe. Nachukua kutoka kwa wauzaji wa humu humu .
Hivyo nilitaka kutanua hii business ijumuhishe vitu hivyo
Unaweza kutusaidia uzoefu wako kwa noqba ya wengineKama unanunua humuhumu af ujamtaji mkubwa umefeli bro, pata elimu ya kuagiza nje.. mimi nilichukua miezi sita kuijua lkn nilianza kwa majaribio ila now ninauzoefu, japo sio mkubwa ila niliagiza vifaa 3 times na vimenifikia,kama una soko zuri utapata faida sanaa.
Sina muda wakuandika mkuu, ila Kuna mtu kapost now namna kuagiza alibaba, post yake imekaa vyema, unaweiza isoma.Unaweza kutusaidia uzoefu wako kwa noqba ya wengine