Nawezaje kuagiza scania nje?

Nawezaje kuagiza scania nje?

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
218
Reaction score
318
Salamu kwa wote.

Nimeingia katika mitandao maarufu ya kununulia magari toka nje kama bforward na sbtjapan. lengo langu ilikua kuangalia bei ya gari kubwa kama Scania lakini sijaona magari hayo.

Ninaomba kwa yeyote anaye jua mtandao wa kununulia magari(Scania) anifahamishae. Huwa nasikia watu wanaagiza Scania au Fuso toka nje lakini bado sijajua wanatumia njia gani na nchi gani wanatoa magari hayo.

Kama unajua njia yoyote ya kuagiza magari makubwa (heavy vehicle) tafadhali nielimishe, pia kama unajua wapi wana nafuu ya bei nisaidieni kujua. Natanguliza shukurani nyingi. ASANTENI
 
Yaani ile kitu Used hutoka UK, ila kila nchi inao mawakala sijui wewe upo mkoa gani maana mpya kwa Dar zinapatikana maeneo ya vingunguti kituo kinaitwa scania kabla hujakuta mataa ukitokea Airport upande wa kushoto utaona bango, ila kama unataka Used zipo sehemu nyingi ukitaka kuagiza used Chek UK scania Used for sale
 
Back
Top Bottom