Nawezaje kuangalia salio langu NMB kwa mtandao bila makato?

Nawezaje kuangalia salio langu NMB kwa mtandao bila makato?

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela?

NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana.

Screenshot_20240722-093131_2.jpg
 
Wakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela..?

NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana,,
Huwezi kukuepa makato ndo biashara yenyewe.
 
Wakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela..?

NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana,,
vyabure hakuna sasaivi,Umeme wa bank unataka nani alipie
 
vyabure hakuna sasaivi,Umeme wa bank unataka nani alipie
Hahahahah, me ni mteja wao.. nikifanya miamala ya kutuma na kutoa pesa ATM watanikata.. Ila kucheck balance tu iwe free
 
Back
Top Bottom