Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Huwezi kukuepa makato ndo biashara yenyewe.Wakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela..?
NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana,,
why bure mkuuWakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela..?
NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana,,
vyabure hakuna sasaivi,Umeme wa bank unataka nani alipieWakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela..?
NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana,,
Hahahahah, me ni mteja wao.. nikifanya miamala ya kutuma na kutoa pesa ATM watanikata.. Ila kucheck balance tu iwe freevyabure hakuna sasaivi,Umeme wa bank unataka nani alipie
why bure mkuu
epukana na hizo mentality za nyerere
why bure mkuu
epukana na hizo mentality za nyerere
There is no any other way and charges are compulsory.
Huwezi kukuepa makato ndo biashara yenyewe.
there must be a fee may be monthly or otherwise
Wakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela?
NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana.
View attachment 3048483