Nipo Dar-es-salaam
Nahitaji KUWA broker wa mpunga ..
Kununua mazao ya mpunga kati ya morogoro au mbeya.
Nahitaji kupata mchanganuo nawezaje Kuanza biasharaa hii ya kununua zao la mpunga kuweka store na kuuza wakati thamani ikiwa juu.
NAHITAJI KUFAHAMU
Mwenye uelewa wowote kati ya hayo au anaefanya shughuli hii anipatie ufafanuzi

- Mtaji wa gunia 100?
- Gharama za uhifadhi?
- Muda unaoweza kupanda thamani kwa gunia?
- Changamoto za uhifadhi?
- Nawezaje kupata hasara katika nyanja za kisiasa na kimazingira?
- Gharama za usafirishaji kwenda soko la dar es salaam?
- Mkoa upi unashauriwa morogoro/mbeya?
- bora kuwa broker(middle men) au kulima?
Mwenye uelewa wowote kati ya hayo au anaefanya shughuli hii anipatie ufafanuzi