frozen
Senior Member
- Aug 12, 2010
- 135
- 32
Wana jf, pls naomba ushauri, sijawa na mtaji wa kuwwza kufanya biashara zangu za kuuza nyumba au kukodisha.lengo langu toka mda mrefu ni kuja kufanya biashara ya nyumba, nina uzoefu mkubwa kwenye upande wa sales na marketing, ombi langu ni wapi naweza enda kujifunza zaidi practically kuhusu biashara ya real estate?