nawezaje kuanza kufanya biashara ya nyumba(real estate agent)

frozen

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
135
Reaction score
32
Wana jf, pls naomba ushauri, sijawa na mtaji wa kuwwza kufanya biashara zangu za kuuza nyumba au kukodisha.lengo langu toka mda mrefu ni kuja kufanya biashara ya nyumba, nina uzoefu mkubwa kwenye upande wa sales na marketing, ombi langu ni wapi naweza enda kujifunza zaidi practically kuhusu biashara ya real estate?
 
Jifunze toka kwa madalali wa mtaani na wewe uboreshe huduma zaidi.
 

Bsc. in real estate (investment and finance)
ardhi university
 
Bsc. in Real Estate Finance and Investmet, Ardhi university,kama utakuwa unataka kufanya hiyo biashara kwa upana mkubwa ila kama hautaki kwa kiwango hicho cha juu zaidi ni vyema ukaenda kwenye kampuni ambazo zinaendesha hizo shughuli na ukapata uzoefu na kujifunza zaidi.
 
nenda brela,sajili kampuni,pata leseni. weka mabango ya matangazo.tengeneza website.faster unaanza biashara
1-zingatia muda wa wateja wako,waambie gharama zako ktk lugha rahisi
2-kama unaelimu ya juu, lenga wateja wa daraja la juu ,maeneo ya masaki,mwenge,mikocheni ,sinza na kinondoni.
3-ingia ubia/Affiliation na makampuni ya aina hiyo kutoka nje ya nchi e.g south Africa,nairobi ,EU.
4-jitangaze online,katika NGO's international,ukielenga short stay expats and finally your word should be a guarantee.
Angalizo :usitumie neno DALALI. bora utumie estate Agent or wakala wa majengo.
usitoze gharama ya kuangalia nyumba kama mteja hajapata nyumba anayopenda.

i wish you all the best in your endeavours
 
hiyo business inalipa kishenzi, ila kamtaji kake mhhhhhhhhhhh!
 
frozen umagandia wapi,
watu kama nyie ndo mnatukanwa ndani ya JF,unatoa mada alafu unapotea.!@#$%^&*()_ Ako.

unababaisha hadi JF in the real world sijui utafanikiwaje
 
This is my dream job aswell PLEASE wajuzi toeni more info.
Thanks alot NEWMZALENDO, SERIO & MSANI
Mpaka ufikie kujenga gorofa la kupangisha au nyumba nzuri kubwa na kuuza. Ni njia gani za kuanza!?!!!
 
Nimefurahi kwa kupata maoni muafaka, kwa sasa nipo chuo mwaka wa tatu lakini kozi nayo chkua hailingani na mambo ya real estate ila inahusiana na mambo ya finance. Kuwa mfanya biashara wa nyumba ni ndoto yangu ya mda mrefu kwani kuna watu wengi wanaofanya biashara hii duniani kote n wengi wamepata mafanikio. Kwa sasa sina mtaji, ila wazo langu ni kupata nafasi kufanya kazi kwenye kampuni moja hapa dar inayohusika na mambo ya real estate ili kupata uzoefu na kujenga mtaji wangu polele angalau baada ya mwaka mmoja niwe na uwezo wa kununua mabanda maeneo fulani na kuyaboresha ,then niweze kuyapangisha kwa faida. Nimefanya kazi za mauzo,masoko na customer car kwa mda kama miaka mitatu kipindi chote nipo cho hivyo nimetokea kupenda sana kazi za mauzo. Natumai ndoto hii ya kumiliki kampuni yangu ya real estate itafanikiwa kama nikijutama zaidi na kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu wadau. Asante sani
 
Kaka nashukuru sana kwa ushauri wako, pls naufanyia kazi. Kwa sasa najianda kumaliza degree yangu,baada ya hapo na mpango wa kusoma lugha kidogo pale british councel then niingie kwenye biashara kikamilifu. Asante sana
 
Nenda serikalini upate uzoefu jamaa wanapiga madili ya nyumba za mabilioni NY.Hapa nyumbani dili za malaki ya ekari hadi Tibaijuka amewashtukia.
 
Kaka nimepata ushauri mzuri sana , nashukuru. Kilichobaki ni kufanya kazi kwa juhudi tu kukamilisha ndoto hii.
 
Kaka nashukuru sana kwa ushauri wako, pls naufanyia kazi. Kwa sasa najianda kumaliza degree yangu,baada ya hapo na mpango wa kusoma lugha kidogo pale british councel then niingie kwenye biashara kikamilifu. Asante sana

umefikia wapi na huu mchakato?
 
wazo zuri ila kwa nn usifungue kampuni ya construction kabisa ukawa unajenga nyba zako na kupangisha au kuuza kabisa. pia kipitia kampuni husila unaweza pata hata tenda ya kujenga nyumba za watu na kiingiza faida pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…