Nawezaje kuanzisha biashara ya Kimataifa kalikawe sector ya vitambaa?

Habari Dorothy, tafadhali fafanua zaidi kitu unachokitaka. Soko la kimataifa kivipi? kununua au kuuza? uliposema kalikawe una maana gani? hivyo vitambaa ni vya aina gani? jieleze vizuri utapewa msaada zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…