Kikubwa pesa tu. Epuka matapeli
K Kuna kitabu kinauzwa ghali sana. Hicho ndicho kimejaa siri zote za ulimwenguni.
Ukiwa nacho unaweza kuanzisha dini mpya au dhehebu jipya na likaenea kote duniani.
Sasa pesa ndo zinaweza kukupa spiritual powers
Ngoja takupa mrejesho. Ila ni kitabu cha kichawi na chenye miujiza.Kinaitwaje na nakipataje?