Kama hukufanya back up, hakuna namna.
Au kama uli switch simu let say, ulikuwa unatumia Android na ukaenda iOS au OS ingine.
Cha kufanya rudi kwenye OS ya zamani, weka WhatsApp humo kisha kisha kuna tools professional za kuhamisha data za WhatsApp kutoka cloud tofauti. Maana Android wao wanatumia Gdrive na iOS wanatumia iCloud.